Yohana 1:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha Yohana akatoa ushuhuda huu: “Nilimwona Roho akish uka kutoka mbinguni kama hua, akakaa juu yake.