Yohana 1:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utu kufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.