Yakobo 5:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, kuna mtu ye yote miongoni mwenu aliye na shida? Basi na aombe. Je, yuko mwenye furaha? Basi na aimbe nyimbo za sifa.