Yakobo 4:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sasa nisikilizeni ninyi msemao, “Leo au kesho tutakwenda katika mji huu ama ule tukae mwaka mmoja huko, tufanye biashara na kuchuma fedha.”