Yakobo 4:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ni Mungu peke yake ambaye ametoa sheria na pia yeye ndiye hakimu; ni yeye tu awezaye kuokoa na kuangamiza.

Usijivunie ya Kesho