Warumi 8:33

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ni nani atawashtaki wale ambao Mungu amewachagua? Ni Mungu mwenyewe ambaye anawahesabia kuwa hawana hatia.