Warumi 8:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ikiwa Mungu hakumwacha Mwanae bali alimtoa kwa ajili yetu sote, hatatupatia pamoja na Mwanae, vitu vyote?