Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Warumi 7:2
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa mfano, mwanamke aliyeolewa hufungwa kisheria kwa mumewe wakati wote mumewe akiwa hai. Lakini mumewe akifa mwanamke huyo hafungwi tena na sheria ya ndoa.
Read full chapter →
Compare all translations →