Warumi 7:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu, kwa kuwa sasa ninasema na wale wanaoifahamu sheria, bila shaka mnaelewa kwamba mtu akifa hafungwi tena na sheria.