Warumi 5:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Zaidi ya hayo, pia tunafurahia mateso yetu kwa sababu tunafahamu kuwa mateso huleta subira;