Warumi 2:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini wote watafu tao kujinufaisha, wanaokataa kweli na kufuatauovu, watapokea ghadhabu na hasira ya Mungu.