Warumi 2:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale ambao hutenda wema wakati wote na kutafuta utukufu, heshima na maisha yasiyo haribika, Mungu atawapa uzima wa milele.