Warumi 2:22

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wewe unayewaambia watu wasizini, wewe huzini? Wewe uchukiaye miungu ya sanamu, huibi katika mahekalu?