Warumi 2:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wewe unayewafundisha wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe unayehubiri kwamba watu wasiibe, wewe huibi?