Warumi 15:26

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maana makanisa ya Makedonia na Akaya yameamua kutoa mchango wao kuwasaidia watu wa Mungu wasiojiweza walioko huko Yerusalemu.