Warumi 15:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Shabaha yangu imekuwa nisihubiri mahali ambapo jina la Kristo limekwisha kutajwa, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwin gine.