Warumi 15:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na tena Isaya anasema:“Shina la Yese lita chipuka, atatoka huko atakayetawala mataifa yote; na watu wa ma taifa watamtumaini.”