Warumi 15:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi tulio imara katika imani, hatuna budi kuchukuliana na udhaifu wa wale ambao si imara. Tusitafute kujipendeza wenyewe.