Warumi 14:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu anayekula kila kitu asimhukumu yule asiyeweza kula kila kitu. Wala mtu ambaye hawezi kula kila kitu asimdharau yule anayekula kila kitu, kwa maana Mungu amemkubali.