Warumi 14:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Imani ya mtu mmoja inaweza kumruhusu kula kila kitu, ambapo mwingine ambaye imani yake ni dhaifu anakula mboga za majani tu.