Warumi 13:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msiwe na deni la mtu ye yote; isipokuwa deni la kupendana; kwa maana ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.