Warumi 12:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Msimlipe mtu uovu kwa uovu. Jitahidini kutenda yaliyo mema machoni pa watu wote.