Warumi 12:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Muishi kwa amani ninyi kwa ninyi. Msitake makuu bali muwe tayari kushirikiana na wanyonge. Kamwe msiwe watu wenye majivuno.