Warumi 10:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Bali inasema hivi, “Neno la Mungu liko karibu nawe; liko mdomoni mwako na moyoni mwako,” yaani, neno la imani tunayohubiri.