Warumi 10:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, chanzo cha imani ni kusikia, na kusikia huja kwa kuhubiri neno la Kristo.