Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Warumi 1:17
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana Habari hii Njema inaonyesha wazi haki inayotoka kwa Mungu. Haki hii hupatikana kwa imani tangu mwanzo hadi mwisho. Kama ilivyoandikwa: “Wenye haki wataishi kwa imani.”
Ghadhabu Ya Mungu Kwa Wanadamu
Read full chapter →
Compare all translations →