Wakolosai 4:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na Yesu, yule aitwaye Yusto, pia anawasalimuni. Hawa tu, ndio Way ahudi kati ya watu tunaofanya nao kazi kwa ajili ya Ufalme wa Mungu, nao wamekuwa faraja kwangu.