Wakolosai 4:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Aristarko aliyefungwa gerezani pamoja nami anawasalimu, hali kadhalika Marko, binamu yake Barnaba, anawasalimu. Mmek wisha kupokea maagizo yanayomhusu. Akija kwenu, mpokeeni.