Wakolosai 3:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ninyi wake, watiini waume zenu kama inavyopasa katika Bwana.