Wakolosai 3:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na lo lote mtakalofanya, ikiwa kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.

Wajibu Katika Familia