Wakolosai 2:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na baada ya kuvunja nguvu na mamlaka ya shetani, Mungu alim fedhehesha hadharani kwa kuonyesha ushindi wa msalaba juu yake.