Wakolosai 2:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
baada ya kufuta kabisa hati ya mashtaka iliyokuwa inatukabili na kutu pinga pamoja na masharti yake; aliiondoa akaipigilia msalabani.