Skip to main content
BIBLE.eu
Read the Bible
Bible Study
Bible Topics
Compare Translations
Wagalatia 6:14
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini mimi kamwe sitajivunia kitu cho chote isipokuwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo; kwa maana kwa njia ya msalaba, ulimwengu umesulubiwa kwangu, na mimi nimesulubiwa kwa ulimwengu.
Read full chapter →
Compare all translations →