Wagalatia 6:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana hata wao wenyewe waliotahiriwa hawashiki sheria; lakini wanataka na ninyi mtahiriwe ili wapate kujivunia hiyo alama katika miili yenu.