Wagalatia 5:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nina hakika katika Bwana kwamba mtakubaliana na msimamo wangu. Huyo anayewasumbueni atapata hukumu anayostahili hata akiwa nani.