Wagalatia 5:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kristo alituweka sisi huru ili tuwe na uhuru. Kwa hiyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na minyororo ya utumwa.