Wagalatia 3:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Je, Mungu anawapa Roho wake na kufanya miujiza kati yenu kwa sababu mnatii sheria au kwa sababu mnaamini Injili mliyosikia?