Wagalatia 3:2

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nataka mni jibu swali moja: je, mlipokea Roho wa Mungu kwa kutimiza sheria au kwa kuamini mliyosikia?