Wagalatia 3:15

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu, napenda nitoe mfano kutoka katika maisha ya kila siku. Hakuna mtu anayetengua wasia wa mtu au kuuongezea ukishatiwa sahihi.