Wafilipi 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ndugu zangu, napenda mfahamu kwamba haya mambo yaliyonipata yamesaidia sana kueneza Injili ya Kristo.