Wafilipi 1:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Maisha yenu yawe na matunda ya haki yatokayo kwa Yesu Kristo, ili Mungu apewe utukufu na sifa.