Waefeso 5:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Zamani ninyi pia mlikuwa gizani, lakini sasa mmekuwa nuru katika Bwana; basi muishi kama watoto wa nuru.