Waefeso 5:4

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kusiwepo na mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuuzi au mzaha; mazungumzo ya namna hii hayafai. Badala yake mshukuruni Mungu.