Waefeso 5:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
ili ajipatie kanisa linalong’aa, lisilo na doa wala kunjamano wala kitu kingine cho chote kama hicho; liwe takatifu na bila kasoro.