Waefeso 5:21

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mmoja wenu ajinyenyekeze kwa mwenzake kwa sababu ya upendo mlio nao kwa Kristo.