Waefeso 4:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Yeye ndiye aliyewapa watu vipawa, wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, na wengine kuwa wachungaji na walimu;