Waefeso 2:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa kutoa mwili wake pale msalabani, ali patanisha jamii zote mbili na Mungu; na kwa njia hiyo akaua ule uadui uliokuwepo kati yao.