Waefeso 2:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nanyi aliwafanya muwe hai, mlipokuwa mmekufa kiroho kwa ajili ya makosa na dhambi zenu.