Waefeso 1:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana ametufahamisha kwa hekima yote na ufahamu, siri ya mapenzi yake, kulingana na mpango aliokusudia kuukamilisha kwa njia ya Kristo.