Waefeso 1:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kutoka kwake, tunapata ukombozi kwa ajili ya damu yake, yaani, kusamehewa dhambi zetu; kulingana na wingi wa neema yake